Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#INAVYUMBA VIWILI(2)VIKUBWA SANA VYA KULALA ..KIMOJA WAPO NI MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
NB:NYUMBA HIKO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA
..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 KWA MIGUU ..
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
###0655256419