Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA KOROGWE DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA JUU INAKUWA WAZI TAREHE 30/07/2025 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
NOTE / KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024