Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment nzuri sana inapangishwa ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐ง๐ข๐ฃ ๐ข๐ฉ๐๐ฅ
NYUMBA YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISWA
NYUMBA IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI NI KILOMITA MOJA TU UNAWEZA KUTEMBEA DAKIKA 15
NYUMBA NI YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTER NA SEBULE JIKO KUBWA LA KISASA NA CHOO CHA PUBLIC
KODI 400,000 ร 5,6
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA YOYOTE YA GARI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA USALAMA WA KUTOSHA NA MLINZI YUPO 24 HRS
MAJI YANAFLOW NDANI
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME
: ITAKUA WAZI TAREHE 12 /08 KUONA NA KULIPIA RUKSA
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300