Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA SUKA
DK 15 TOKA KITUONI KWA KUTEMBEA.
KODI 250,000/= × 6
Sebule Kubwa
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Vyumba Vyote Ni Master
Kitchen With Cabinet
Public Toilet Nzuri
Luku Yako
Maji Dawasa METER YAKO
Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
Fenced
Parking Space Available 🚘
Good Environment 👍
Itakuwa Wazi 14/06/2025
INAFAULISHWA WAHI SASA
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp