Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


🏢 APARTMENT MPYA INAPANGISHWA – KINONDONI MANYANYA
💰 Kodi: 900,000/= kwa mwezi
🛏️ Vyumba: 2 vya kulala vyote master
🛋️ Sebule
🍽️ Jiko
🚿 Choo & Bafu
✨ Apartment ni mpya kabisa, mazingira mazuri na salama
⚡ Umeme na maji vipo (mita yako)
🚗 Parking ya kutosha
📞 Wasiliana sasa: 0678512666
(Inafaa kwa familia au ofisi ndogo)


















