Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MWISHO NYUMA TU KIDOGO YA STAND YA MKOA MAGUFULI BUS TERMINAL
UMBALI WA DK 8 MPAKA 10 TU KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD PIA USAFIRI WA BODA 1000 MPAKA GETINI
KODI 350,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO ZURI KUBWA
✔️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✔️TIRES & GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️NDANI YA FENCE
✔️PARKING SPACE KUBWA 🚘
✔️PAVING BLOCKS 🚫
✔️FULL GARDEN
✔️MAZINGIRA MAZUR
✔️LUKU YAKO
✔️MAJI METER YAKO
✔️DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️TANK LAKO MWENYEWE
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US:
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp