Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


#BANDA LINAUZWA KIBAHA #15,000,000/=
MALIPO MILIONI 15 TU!
--------------------------------
๐Mahali:KIBAHA LOLIONDO (MTAA WA MUHEZA) (PWANI) ๐น๐ฟ
Umbali:2.Km Boda ELF 1500
__________________________
MUUNDO
โ๏ธNi Pagale la Kumalizia Tu
โ๏ธLipo Sehemu Nzuri
โ๏ธLipo Katika Makazi ya Watu
โ๏ธ Anauza Ana Shida
โ๏ธMazingira Mazuri .
โ๏ธBanda lina Vyumba Vinne
โ๏ธSebule ,jiko na choo cha Master na public Toilet
_______________________________________
HUDUMA
โ๏ธMaji (yapo dawasa)
โ๏ธHuduma Za Kijamii Kama Shule ,Makanisa na Misikiti Ipo Karibu
๐ Eneo lina Ukubwa Sgr METER 700
โโโโโโโโโโโโโโโ
KODI; 15,000,000/=TZS.
Malipo milioni 15 Maongezi Yapo
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 25,000/=
0782636396 0655436396