Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kiwanja kipo ndani ya fens
 bado geti tu na maji dawasco tayar
Ukubwa-sqm 500
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
 Bei-ml 29 maongez kidogo 
Location- madale mivumoni 
Umbali- km 1 kutoka main road midizini 
CALL_0656610033




















