Viwanja vinauzwa Salama, Mara


KIOTA CHAKO KINAKUSUBIRI! ๐กโ
๐Unatafuta sehemu salama, tulivu na halali ya kujenga ndoto zako? Trust Solution Company Ltd inakuletea *fursa ya kipekee ya viwanja vya makazi* vilivyopimwa, vyenye hati, na vinavyopatikana kwa urahisi mkubwa wa malipo!
๐ *MAHALI SAHIHI*
โก๏ธ Kigamboni Buyuni
โก๏ธ Sehemu inayokuwa kwa kasi
โก๏ธ Mazingira mazuri kwa makazi na uwekezaji
๐ฐ *BEI NAFUU*
โก๏ธ Kuanzia TSh 2,584,000 Kwa cash
โก๏ธ Malipo ya mkopo hadi miezi 18
โก๏ธ Hakuna riba, hakuna usumbufu
๐ก๏ธ *UHALALI NA USALAMA*
โก๏ธ Viwanja vyote vimepimwa
โก๏ธ Vinapatikana kisheria na hati halali
โก๏ธ Huduma zote muhimu zinapatikana karibu
๐ *HUDUMA BORA KWA WATEJA*
โก๏ธ Tunakuhudumia kwa uaminifu na uwazi
โก๏ธ Tunakusaidia hatua kwa hatua hadi unamiliki
โก๏ธ Tembelea ofisi yetu au piga simu sasa
*Usisubiri hadi kesho โ maisha yako ya baadaye huanza na uamuzi wa leo.*
Chukua hatua, kiota chako kinakusubiri!
๐ *Makumbusho โ Derm Plaza, Ghorofa ya 11*
๐ฒ +255 748 303 601
#KigamboniKumenoga #TrustSolution #AndaaMakazi #ViwanjaHalali
#KigamboniBuyuni
#MalipoNafuu



















