Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 6,000,000
Project
Yes

Viwanja Vinauzwa Kibaha Picha ya Ndege! Mtaa wa SOFU. KM4 Toka Lami! Viwanja vimepimwa na tayari vimeshakuwa Approved... Barabara ya kufika Hadi hapa site tayari ipo kwenye ujenzi Kwa kiwango cha Lami.... Unasubiri nini Sasa? Njoo ujioneee mwenyewe.

Malipo ni kidogo kidogo ndani ya Mwaka Mmoja! Bei kwa square meter ni shilingi 15,000/= sawa na shilingi 6,000,000/= Kwa Kiwanja chenye 400m²

Kianzio: 1,000,000/=
Kiasi Kilichobaki Kinalipwa ndani ya Miezi 11

Maji na umeme vipo site! Viwanja Barabarani,ukifika umefika sio kuingia kulia Wala Kushoto! Palepale site Kuna Hardware Kubwa Sana,unaweza kujipatia vifaa vyovyote vya Ujenzi Kwa Bei nafuu! Wote mnakaribishwa.

Udongo wa SOFU ni kichanga + udongo Mwekundu Yani udongo safi saNa! Hautelezi hata kama mvua inanyesha! Pia wakati wa ujenzi huna haja ya kutanguliza mchanga mwingi kwenye msingi!

Ukiwa SOFU unapata Matofali Kwa bei nzuri Sana,Yani Bei nafuu Sana! Wahi fursa ya kujenga Kibaha SOFU ufurahie OFA hii nzuri na kubwa kutoka Kwetu! SOFU Kuna washua kibao,ushindwe wewe kufika site boss! Karibu Sana SOFU.

This time ni Kibaha,Picha ya Ndege Mtaaa wa SOFU.

Mawasiliano
0659 972 868

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Nyumba inauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 57,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO KIBAHA KWA MATHIAS INA VYUMBA V3SEBULE DINNING JIKOMASTER PUBLIC ENEO SQM 400BEI...

Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani
  • By Installment

Sh. 6,600,000

KIBAHA BOKOMNEMELA-3Km7 Morogoro RoadMita900 Toka StandDaladala Zipo Tokea Mbezi, Nauli 2000Maji Daw...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 4,000,000

New project kibaha kwa mathis na kwa mfipaBei mil 4 tuuNjoo na nusu ya pesa umiliki kiwanja klm 4 to...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 130,000,000

PLOT NZURI KIBIASHARA INATAZAMA BARABARA KUU YA MOROGORO INAUZWAUkubwa-sqm 1200 (Ukubwa huu ni makad...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 45,000,000

HII NYUMBA SASA IMESHUKA BEI, WAHI TUWAHI BOSS..BEI INATAKA 45M TU. MAONGEZI KIDOGO SANA.INA VYUMBA ...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 150,000,000

Kiwanja kinauzwa kiwanja kipo mkoa wa pwani kwa mathiasKiwanja kina mafrem na vijumba kazaa HAPO nda...

Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani

Sh. 50,000

NYUMBA YA BIASHARA NA MAKAZI, TSHS.70 MIL.WAHI KIBAHA KWAMATHIAS.Vyumba vya kulala vipo 11 (Kila Chu...

Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 70,000,000

HII SASA NI EMBE DODO CHINI YA MPERA🤗🤗 FREM SITA VYUMBA KUMI NA MOJA VYOTE MASTER NA VYOTE VINAWAP...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 300,000,000

NUNUA KIWANJA NA UJENGE NA KAMPUNI YA PERFECT PROPERTY✅Kibaha, Visiga MadafuNUNUA KIWANJA NA UANZE K...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 4,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJA KIBAHA KWA MATHIAS.==========✍️ BEI ZA VIWANJA NI KAMA IFUATAVYO:• 20*20 NI TS...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 3,000,000

📍KIBAHA KWA MATHIASKARIBU UPATE HUDUMA NZURI KABISA YA VIWANJA÷HAPA UTAPATA HUDUMA YA KULIPA KIDOGO...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 30,000

Viwanja kibaha Umbali km 2 TuBei sqm moja 300000785440293 / 0654976469

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 30,000

Kibaha mjiniUmbali km 2 TuBei sqm moja 30000 Tu0785440293

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 0767053517◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ U...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 75,000,000

JENGO LA RESTAURANT LINAUZWAENEO HILI NI KUBWA KAMA UKILIVUNIA NA KUAMUA KUJENGA FREMU UNAWEZA KUTOA...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 20,000

PLOT NZURI SANA INAUZWAMAHALI KIBAHA MAILIMOJA PLOT SIZE SQM 2618BEI 55MILLION SITE VISIT 20000 ☎️

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 63,000,000

MAHAL KIBAHA: #PICHA_YA_NDEGEUMBAL DK 10 KUTOKA KITUO CHA DALADALAKIWANJA KIMEPIMWAUKUBWA WA KIWANJA...