Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


🏝Unapojenga ndoto yako, waalike marafiki pia waijenge yao, viwanja bado vinapatikana! 👷🏾♂️🧱.
📍Urafiki wa kweli hauishii kwenye picha na vicheko, unampeleka rafiki yako kwenye fursa.
📍Kama umefanikiwa kumiliki kiwanja Kigamboni kupitia Trust Solution, usikae kimya.
Mwelekeze na yeye afungue ukurasa mpya wa maisha – maisha ya uhakika, tulivu, na yaliyojengwa kwenye msingi wa hati halali.”
👉 Viwanja vimepimwa
👉 Bei rafiki kwa mwananchi
👉 Malipo nafuu kwa awamu
👉 Mahali: Kigamboni – kitovu cha ukuaji wa kisasa
MIRADI YETU
📍BUYUNI GULUBWIDA 𝐁𝐄𝐀𝐂𝐇𝐏𝐋𝐎𝐓𝐒
𝐁𝐄𝐈;𝐌𝐢𝐭𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐫𝐚𝐛𝐚 𝐧𝐢 26,000/- 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐩𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐂𝐚𝐬𝐡 𝐚𝐮 𝐌𝐤𝐨𝐩𝐨 𝐦𝐢𝐞𝐳𝐢 18
📍𝐏𝐔𝐍𝐀 𝐘𝐀𝐋𝐄𝐘𝐀𝐋𝐄 (𝐁𝐄𝐈 𝐍𝐀𝐅𝐔𝐔)
𝐌𝐢𝐭𝐚 1 𝐲𝐚 𝐦𝐫𝐚𝐛𝐚 𝐧𝐢 10,000/- 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐨𝐩𝐨 𝐦𝐢𝐞𝐳𝐢 24
𝐌𝐢𝐭𝐚 1 𝐲𝐚 𝐦𝐫𝐚𝐛𝐚 𝐧𝐢 8000/- 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐩𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 moja
💡 Usijenge ndoto zako hewani – zianzishe kwenye ardhi yenye msingi imara
📞 +255 748 303 601
📧 ngavatulasarah@gmail.com
📍 Makumbusho, Derm Plaza Ghorofa ya 11
#RafikiWaMaendeleo #TrustSolution #KigamboniSmartLiving #FursaZaKweli #WeweNiJibuLaSalaYaMtu