Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

HII NI OFA KAMBAMBE KWA AJILI YAKO. Kumbuka Kwetu bei ni Mserereko, Kuanzia Milion 3.5 unamiliki Kiwanja KIGAMBONI MBUTU KICHANGANI. Unasubiri nini? Mradi wetu ni mzuri sana na Mandhari ya kuvutia..

Mradi upo karibu na bahari, ni mita 900 tu kufika baharini, pia ni Karibu na Hotel kubwa ya kisasa ya AYA SOPHIA VILLA.

Eneo lote limezungwa na mji mzuri, na huduma zote za kijamii zinapatikana kama Umeme, Maji, Hospital, Shule, Soko n.k Eneo ni tambarare, Barabara zote zimechongwa vizuri na zinapitika kipindi chote.

Kutokea Ferry Mpaka Kwenye mradi ni Km 18 tu, na kutokea Barabara kubwa ya Ferry -Kigamboni mpaka Mbutu Kichangani ni Km 3. Usafiri unapatikana muda wote.

Ukubwa wa Viwanja, Unaanzia Sqm 200, Sqm 300, Sqm 400 , Sqm 500 na Kuendelea. Ukubwa wowote unaotaka utapata ni wewe na bajeti yako tu. Kwa maelezo zaidi tupigie/Whatsaap 0711677199/0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, DARAJANI 》Nyumba ina VYUMBA VIWILI KI...

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA📍Kigamboni-Darajani💰700,000X6 Na mwezi mmoja wa dalaliDetails•Vyumba viwili v...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 230,000,000

HOUSE 🏡 FOR SALELOCATION : KIGAMBONI SHANGWE ( KIBADA)SIZE : UKUWA WA SQUARE METRES 600DETAILS : NY...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

HAPA NI KIGAMBONI GEZA BLOCK 18 KIWANJA KINA HATI YA WIZARA SQR MITA 567 BEI MILIONI 28KIWANJA HAKI...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

HAPA NI KIGAMBONI GEZA BLOCK 25 NAKULETEA KIWANJA SQR MITA 1210KIWANJA KINA HATI YA WIZARA BEI MILIO...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

HAPA KIGAMBONI GEZA ULOLE BLOCK 24KIWANJA KINAUZWA UKUBWA WA SQR MITA 831KINA HATI YA WIZARA UPANDE...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni geza block 24📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; KIGAMBONI MWONGOZO NSSF ( mwongozo beach)👉Plot size: SQM 711Dimensions; mita 21 kwa mita ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NEW APARTMENT MPYA KABISA KALI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIGAMBONI DARAJANI BEI LAKI 6 KWA MWEZI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni geza block 18📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada block📍Umbal wa kilometer 8 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia um...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni kisotaKutoka ferry km 6Bei;MILION 90Ukubwa;SQM 890Call 0742121038

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 16,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni Kona ya chuoBei Milion 16Ukubwa;SQM 705Call 0742121038

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

*Nyumba inauzwa Tuangoma, Kigamboni**Distance* Nyumba ipo mita 70 tu kutoka barabarani kubwa-Nyumba ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...