Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

OFA OFA OFAAAAAA!
Funga mwaka na kumiliki kiwanja cha ndoto zako! Kwa mkopo nafuu kabisa usio kuwa na riba wala dhamana yoyote ile.

Sasa unaweza kumiliki kiwanja kilicho pimwa na chenye hati kwa kulipa kidogo kidogo ndani ya mwaka mzima yaani miezi 12 na zaidi ya mwaka mmoja kwa viwanja vyetu vya Kigamboni (Gezaulole)

Hii ni ofa kabambe kwa wateja wetu wote wa viwanja hasa kwa msimu huu wa siku kuu za krismasi na mwaka mpya.
Viwanja vyetu vipo maeneo yafuatayo;

- Goba (kisauke) bei 35,000 kwa Sqm

- Madale (Flamingo) bei 40,000 kwa Sqm

- Bunju "A" (kinondo - mji mpya) bei 25,000 kwa Sqm

- Kerege (matumbi) bei 17,000 kwa Sqm

- Mbweni (kiharaka) bei 25,000 kwa Sqm

- Kigamboni (Gezaulole) bei 18,000 kwa Sqm (ofa ya hivi viwanja ni kwamba mteja atalipia laki tano tano tu kila mwezi mpaka atakapo kamilisha malipo yake husika)

- Mbezi (Luguruni) bei 35,000 kwa Sqm

- Goba (lastanza) bei 45,000 kwa Sqm

NB: Viwanja vyetu vyote vimepimwa na vina hati, mteja atakabidhiwa hati miliki ya kiwanja chake husika mara tu baada ya kukamilisha malipo yake husika.
- Ofisi yetu ipo jengo la Mwenge tower opposite na Mlimani city.
Tupigie: 0757712776 / 0656489722 / 0783389952/0652755468

Madson property ltd
miliki_kiwanja_kwa_mkopo
Madson property ltd

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisota 🏡✨ Vyumba 2 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa✨ Ji...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kibada🏡✨ Vyumba 2 (1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa✨ Jik...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 12,500,000

🏡 VIWANJA VINAUZWA – Kigamboni Kibada 🏡✅ Ukubwa: 400 Sqm✅ Hati safi kutoka S/Mtaa✅ Bei: Milioni 12...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja Master sebule na jik...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 30,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI CHEKA.📞📞0767053517 ◻️VIWANJA VIMEPIMWA VYA MAKAZI◻️Umbali ni km 21 toka fer...

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥✅UMBALI 30KM TOKA FERRY ✅VIWANJA VIMEPIMWA/SURVEY APPROVAL ✅UK...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

...#HOUSE_FOR_SALEHOUSE FOR SALE / NYUMBA NZURI SANALOCATION: KIGAMBONIFIXED PRICE: MILION 165UKUBWA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🏡✨ NYUMBA INAPANGISHWA – KIGAMBONI, KIBADA ✨🏡👉 Vyumba 2 vyote ni Master Self Contained👉 Sebule k...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada CHEKECHEA <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Maste...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISIWAN YA MBUYUNI 》Nyumba ina CHUMBA K...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISIWAN 》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTE...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥0767053517👉🏾UMBALI 30KM TOKA FERRY 👉🏾VIWANJA VIMEPIMWA/SUR...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥0767053517👉🏾UMBALI 30KM TOKA FERRY 👉🏾VIWANJA VIMEPIMWA/SUR...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI __SQM 500__BEI ML 25__DOCUMENT SILES AGLEMENT __LOCATION KIGAMBONI KIBUGUMO ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 8,000 per sqm

Anza wiki ukiwa na uhakika wa mali zako! 🏡Nunua leo, miliki leo ✔️✅ Hati mikononi bila usumbufu✅ Be...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

🔑 INAPATIKANA – NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI, MIKWAMBE 🔑📌 Sifa kuu za nyumba:Vyumba 3 vya kulala (1 n...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja Master na jiko✅nyumb...