Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Tunakuletea Mradi mpya wa Kigamboni Tundwi Songani 🏡🔑
Mradi mzuri sana upo Wiraya ya Kigamboni eneo la Tundwi Songani.
Viwanja vimepimwa na vinatambulika na Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo.
Mradi huu wa Tundwi Songani:-
Upo umbali wa km 45 kutoka ferry kigamboni na km 40 kutoka Darajani Kigamboni.
Ukubwa wa Viwanja ni kuanzia Sqm 400 hadi 1000 na bei ya Sqm 1 ni elfu 5000/= Tsh.
Mradi umezungukwa na huduma muhimu mfano: Barabara, Umeme na Maji
Nukuu: “Wekeza sasa kwa faidi ya badae”
#jasirilandcompany #viwanjakigamboni #viwanja #umiliki_hati_mkononi #tundwisongani