Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI YA KIWANJA NI MILION NA LAKI TATU TU. (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI. Simu ziite📞0711677199/0744847199

Kwanini ununue kiwanja kwenye mradi wetu wa KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI !! ✨ Hapa kuna sababu za kufanya hivyo:

1️⃣ Mradi upo Katikati ya mji kabisa, Majirani wapo wa kutosha na wamejenga nyumba za maana.

2️⃣ Mradi uko karibu na barabara kuu itokayo Mji Mwema Kwend Buyuni, ni mita 500, hivyo kunakupa urahisi wa kufika kwako bila usumbufu na gharama kubwa.

3️⃣ Miundombinu bora: Mradi una huduma zote muhimu kama maji na umeme. Ukiachana na makazi bora, pia huduma muhimu za kijamii kama shule na hospitali zipo.

4️⃣ Mandhari ya kipekee na ya kifahari: Upepo Mwanana Toka baharini maana ni Km 1.5 Kwenda Ufukweni.

5️⃣ Viwanja vimepimwa kwa Ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunga Viwanja kuanzia viwili, vinne, sita na kuendelea inategemea na bajeti Yako.

6️⃣ Umbali kutoka Ferry mpaka KIMBIJI kwa Moris ni Km 35. Unapanda gari Moja toka Ferry zinazokwenda Buyuni unashukia KIMBIJI kwa Moris. Wakati wewe unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuta watu washachukua maeneo yao. Fanya maamuzi sahihi na umiliki kiwanja cha ndoto zako! Nipigie 0711677199/0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __NYUMBA INA VYUMBA V3 VYAKULALA VIWILI MASTER SEBULE DIN...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,000,000,000

📍BEACH PLOT FOR SALE KIGAMBONI KIMBIJI.Eneo: Yaleyale – Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam📏 Takr...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni FunCity 🏡✨ Chumba Kimoja Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko✅nyumb...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule n...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 58,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KUZURI SANA UKUBWA NI SQM 820 📑📜 HATI KAMILIBEI NI MILLION 58 🤝 GEZA ULOLE ...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Chumba master najiko ✅ Ndani ya fence ✅ Umeme & maji una...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI Bei milioni 25 0713672719📱0767672719KIWANJA kipo vumilia ukoonikina ukub...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA/APARTMENT 📍Kigamboni Kisiwani 🏠Sebule Chumba master & Jiko 👉Full Ac Sebuleni...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000,000

💰BEI MILIONI 800 GOROFA LINAUZWA📍 KIGAMBONI KIBADA👉 BEDROOM 5 MASTER 4🪑 SITTING ROOM KITCHEN RO...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,000,000

🏡 𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐊𝐢𝐠𝐚𝐦𝐛𝐨𝐧𝐢 , 𝐦𝐚𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐩𝐨 𝐚𝐫𝐝𝐡𝐢 𝐢𝐧𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐤�...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kibada 🏡✨ Vyumba 2 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ✨ ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 60,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafi...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master nzuri✅nyumba ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule n...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko ✅nyum...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

HAPPY SUNDAY🙏🙏🙏🙏MILIKI ARDHI LEO NA KAMPUNI PENDWA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAENDEL...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 750,000,000

PLOT YA KIWANDA INAUZWA KIGAMBONI UKUBWA HEKARI MBILI bei milioni 750IPO kisarawe II MITA 200 toka b...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 58,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Mikwambe ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) ina...