Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000
Project
Yes

MADALE MIVUMONI - eneo tambalale kabisa

■■ Viwanja vipo jirani kabisa na barabara kuu ya kutoka Goba kuelekea Madale.

■■ Hapa tumepima viwanja 20 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa mita chache unaingia ndani kwako hapo hapo.

■■ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri.

■■ Viwanja vipo sehemu ambayo kwenda katikati ya mji ni mwendo wa dakika kadhaa tu.

■■ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Bei hapa ni 80,000Tsh kwa sqm 1 ya mraba na malipo yake ni CASH . Katika suala la bei maongezi yapo kidogo.NJOO OFISINI

Viwanja vya hapa vina ukubwa kuanzia sqm 600[upana 20mita × urefu 30mita] mpaka sqm 1500[upana inakuwa 30mita x urefu 50mita].

Inamaana hapa viwanja vimeanzia milioni 40 mpaka milioni 120 kutokana na ukubwa unaotaka wewe mnunuaji tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

1km kutoka Madale centre na 1km kutoka madale road(Barabara ya Lami, ingawa barabara ya kwenda eneo la project ni kubwa (30mita) na inafikika katika kipindi chote cha mwaka iwe masika iwe jua

Nauli kutoka Mbezi Magufuli Stand au Tegeta mpaka Madale ni sh. 500 tu kwa daladala na kutoka barabara ya Lami kwenda site hata kwa miguu unaenda vizuri kabisa mana ni karibu.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI #0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na ndio wamiliki wa mradi.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENTS #VYUMBA_VIWILI VYA KULALA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE SHERATON...

Nyumba inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

NYUMBA YA GHOROFA (UNFINISHED)INAUZWA IPO MADALE DARVYUMBA V3 KULALA V2 MASTER, SEBULE, JIKO, DINNIN...

Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta MadaleIna Vyumba Vinnie vya kulala, Viwili ni Master, ...

Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta MadaleIna Vyumba Vinnie vya kulala, Viwili ni Master, ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALAINAPANGISHWA #APARTMENTMAHALIMADALE MIKOROSHINI NYUMBA LAMIKODI TSHS LAKI ...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Ukubwa-sqm 500Umiliki-mauziano serikali za mtaa Bei-ml 35 maongezi Loca...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:Ukubwa-sqm 2100Kimepimwa Hati bado Bei-ml 150 maongezi Locati...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

NYUMBA INAUNZWA “”INA VYUMBA VITATU NA BYCOTA “”ENEO SQMT 1000”BEI MILLION ( 450”)MAONGEZ “ YAPO HAT...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA APARTMENT ZINAPANGISHWAZIPO – MADALE, MIVUMONI🏠 Vyumba 2🛏️ 1 Master...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

🏢 APARTMENTS ZINAUZWA – MADALE 🏢📍 Karibu na barabara ya lamiApartments nzuri sana zinauzwa zikiwa...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

🏡✨ KIWANJA KIZURI KINAUZWA – MADALE KONTENA ✨🏡🌟 Ukubwa: 2,000 sqm🚗 Umbali: Kiwanja cha pili kuto...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA YA VYUMBA_VITATU_FULL_SECURITY FULL_PRIVACY NYUMBA KALII MNOO#LOC:MADALE MKOROSHINI BABARA MK...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 200,000,000

HOUSE FOR SALE: LOCATION: LOCATION madale mwishoSQM: 600+1 BIG ROOMS, (all self contained). PRICE: 2...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VITATU_VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE MIVUMONI KARIBU...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

NYUMBA INAUNZWA “”INA VYUMBA VITATU NA BYCOTA “”ENEO SQMT 1000”BEI MILLION ( 450”)MAONGEZ “HAT SAFII...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

HOUSE FOR SALE: LOCATION: LOCATION madale SQM: 400+Nyumba ina vyumbavi 4PRICE: 180 MILLION maongezi ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VITATU_VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE MIVUMONI KARIB...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 800,000

🏢 APARTMENT FOR RENT – MADALE ++📍 Location: Madale⏱️ Only 15 minutes from the main road, offering ...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

Kiwanja kinauzwa. Kipo Madale policeUkubwa wa Kiwanja Sqm 600Bei TShz Milioni 45Kiwanja Kina HatiGha...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

🏢 APARTMENTS ZINAPANGISHWA – MADALE 🏢🛏️ Vyumba 2🛏️ 1 Master Bedroom🛋️ Sebule kubwa❄️ Full AC🚪 ...