Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000
Project
Yes

ZINGA ZINGA ZINGA BAGAMOYO

SWIPE LEFT 👉👉.........

TUNATOA HATI BURE KABISA HAPA

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

📌 Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka mwaka mzima yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa mwaka mzima.

📌 Malipo utaanza na 2milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya mwaka mzima.

📌 Ukimaliza malipo hati yako unaikuta mezani ofisini kwetu.

📌 Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

📌 Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

📌 Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

📌 Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

📌 Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

KIWANJA SAFI NDANI YA FENCE KINA UZWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA LAMI ------SQ...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

CHUMBA MASTER | SEBULE KUBWA NA JIKO. KUBWA SANA. KODI 500,000/= ×6 TU__MBEZI KWA MSUGURI HAPA MBIO ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 500,000

HOUSE FOR SALELOCATION: MBEZI BEACH – JK NYEREREPLOT SIZE: SQM: 900+PRICE: USD 500,000The house is a...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

Mbezi Malamba Mawili🔥🏠Ukubwa: Sqm 400Bei: Mil 38 tu!!! (FIXED)🔥 - Vyumba 3 (1 Master) - Sebule + ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

Nyumba ya vyumba vitatu ,sebule , dinning na jiko inauzwa na kiwanja chake kizuri sana kinafaa kuwek...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI JUU KWA ULOMI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 1,5 BODA ELF MOJA 1000 INAFAULISHWA MPANGAJI...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 350,000,000

Plot For Sale Mbezi Msakuzi 🛣️ 3km From Morogoro Road ( Mbezi Magufuli Terminal)🏷️Price      SQM 3...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM2 KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA ZEGE. -----Chumba maste...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 38,000,000

Nyumba Mpya Nzuri InauzwaMahali: Mbezi Malamba MawiliBei: Milioni 38 (Mazungumzo)☑️Vyumba 3, Kimoja ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAM📍ENEO- TEMBONI Upande wa kulia kama unaenda mbezi📍BEI - 120,...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000,000

ENEO KUBWA LINA UZWA MBEZI KWA MSUGURI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ENEO LINA NYUMBA 2 NDANI UKUBWA W...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA MBEZI LUISI (MACHIMBO)KODI YAKE 280K X 5x6💫💫 APARTMEN...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

MPYAA🔥🔥MPYAAPARTMENT YA KISASA💥KUHUSU SWALA MAJI HAPA SAHAU USIJE HATA NA NDOO...💥 *KODI YAKE 40...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#APPARTMENTS MPYA NZURI SANA TAJIRI HII NI FIREEEEnlUMEONA WAP .......KODI:400,000TSH LOC: MBEZI MAG...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

NEW APARTMENT HOUSE FOR RENT VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALAIKO-DAR-ES-SALAAM TZ LOCETION MBEZI BEACH TAN...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 1 TU INAYOPANGISHWA NIYA YA JUUYENYE VYUMBA ...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

KIWANJA KINZURI KINAUZWA MBEZI KWA MSUGURI (KM 2)BEI NI MILIONI 40 MAOEGEZI YAPOKIPO MTAA WA KISHUWA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

MPYAA🔥🔥MPYAAPARTMENT YA KISASA💥KUHUSU SWALA MAJI HAPA SAHAU USIJE HATA NA NDOO...💥 *KODI YAKE 40...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO-MADUKANIVyumba 3 vya kulala 2 ni master bedrooms, sebule dinning ji...