Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma


Vimebaki vichache wateja wangu 🔥🔥🔥
Karibu nikuuzie viwanja vizuri Dodoma mjini(Chidachi Ntyuka)
▶Km tano kutoka Dodoma mjini
▶viwanja vimepimwa na Vina hati
▶Maji, barabara na umeme vipo hadi site
▶Karibu na SGR na hospital ya DCMC
▶Viwanja havina migogoro
▶Viwanja vya makazi na biashara
▶ukubwa kuanzia sqm 400 ,500,600,700,800,1000 na zaidi
▶Bei kuanzia mil 9.5 na kuendelea kulingana na ukubwa wa kiwanja
Mawasiliano : 0768 333 054
Huduma ya kwenda site ni bure na kila siku