Viwanja vinauzwa Salama, Mara


🌿 BIG SALE ! 🌿
✨Uwekezaji kwenye ardhi umekuwa rahisi zaidi! Tumepunguza bei kutoka TSHS 26,000 hadi TSHS 23,000 kwa SQM ili kukupa nafasi ya kutimiza ndoto zako bila presha.
📌Hii ni fursa adhimu kwa mfanyakazi, mfanyabiashara, kijana anayeanza maisha, au familia inayotafuta eneo salama la makazi.
Viwanja vyetu vimepimwa, vipo maeneo mazuri na vina hati halali—hakuna kuhangaika!
Tunatoa malipo kwa miezi 18.
Unachohitaji ni kufanya uamuzi leo… kesho yako itashukuru.
🚗 Karibu utembelee site ujionee mazingira, ukubwa wa viwanja na fursa zilizopo.
Tupo tayari kukusaidia hatua kwa hatua hadi umiliki wako ukamilike.
📍 Makumbusho, Derm Plaza, Ghorofa ya 11 📞 +255 748 303 601
✨ Uwekezaji bora ni ardhi—haitengenezeki tena! #AndaaMakazi #ArdhiSalama #ViwanjaHalali #TrustSolution #ViwanjaBuyuni #MalipoNafuu



















