Viwanja vinauzwa Wazo, Dar Es Salaam






Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:
Kiwanja tambarare mkeka majirani wamenyooka
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 90 maongezi
Location- Wazo mashamba ya jeshi
Umbali-km 1.5 kutoka main road wazo bwawani
0745559598