Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment MPYA inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk5 kutoka main road NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA Sebule Jiko ( Open kitchen) Public toilet Luku yako Maji yana flow ndani Full a/c Full tilles, gypsum & aluminum Iko kwenye fenci Kodi 400,000/= Kwa mwezi, Malipo miezi 6 Kwa maelezo zaidi piga :- 0712528820 0685221354 Mr.















