Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mwanza

Huduma na Sifa
Maelezo
Inapangishwa 200K/mwezi🔥
⭐Chumba self, sebule na jiko
⭐Umeme unajitegemea LUKU
⭐Fenced & Car Parking
⭐Price 200K kwa mwezi
⭐️MALIPO NI MIEZI MINNE
⭐For more information contact us 👇
Call or WhatsApp 0678 930 126
IN GOD WE TRUST















