Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kongowe, Pwani (400 sqm)
Kibaha, Pwani
17 hours ago
Sh. 27,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA NZURI YA VYUMBA VITATU VYA KULALA INAUZWA KIBAHA KONGOWE TSH MILIONI 27 TU
==========
π»Ina vyumba vitatu vya kulala, Chumba kimoja master
π»Sebule Kubwa
π»Jiko
π» Public toilet
==========
π Kiwanja chake kina sqm 400 β
βοΈ Ina umeme na Maji
βοΈ Ipo kwenye barabara ya mtaa
_____________________
π° BEI MILIONI 27 TU
Maongezi yapo
==========
βοΈ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k tu
==========
Call/WhatsApp:
#















