Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kwa Mfipa, Pwani (400 sqm)
Kibaha, Pwani
17 hours ago
Sh. 23,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA MPYAA NZURI SANA INAUZWA KIBAHA KWA MFIPA TSH MILIONI 23 TU
==========
🔻Ina vyumba vitatu vya kulala, Chumba kimoja master
🔻Sebule
🔻Jiko
🔻 Public toilet
==========
👉 Kiwanja chake kina sqm 400 ✅
__________________
✍️ Nyumba ni mpya kabisa
✍️ Ipo kwenye barabara ya mtaa
_____________________
💰 BEI MILIONI 23 TU
==========
✍️ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k tu
==========
Call/WhatsApp:
#0684561351















