Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kwa Mfipa, Pwani (600 sqm)


Kibaha, Pwani
20 hours ago
Sh. 18,500,000
Huduma na Sifa
Maelezo
BOMA JIPYA NA ZURI SANA LA VYUMBA VITATU VYA KULALA LINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA MIL 18.5 TU.
==========
π»Lina vyumba vitatu vya kulala, Chumba kimoja ni Master
π»Sebule kubwa
π»Jiko
π»Public toilet
π»Stoo
__________________
βοΈ Lipo kwenye barabara ya mtaa
π Lipo mtaa mzuri sana unaokua kwa kasi
==========
β
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 600
_____________________
π° BEI MILIONI 18.5 TU
==========
βοΈ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k tu
==========
Call/WhatsApp:
#















