Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Makoka Kwa Mkuwa, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 500,000/month

Huduma na Sifa

Maji
Parking Space
Umeme
Luku Inajitegemea
Karibu na Barabara ya Lami
Uzio

Maelezo

:
๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #Mpyaa

#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA

Unaweza Ukapitia Korogwe Usafiri Bajaj 500 Barabara ni LAMI

Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya

Pia Daladala za Kariakoo Mnazi Mmoja Zipo

#๐™Ž๐™ž๐™›๐™–_๐™•๐™–๐™ ๐™š
============
โ€ข Sebule Kubwa
โ€ข Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
โ€ข Jiko Kubwa
โ€ข Choo Kizuri Ndani

Apartment zipo Kwenye Fensi Parking ipo.

Kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.

๐™†๐™ค๐™™๐™ž ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ˆ๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™ž ๐™ฃ๐™ž Tsh. 500,000/- Malipo Miezi 6

#๐˜ผ๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ก๐™ž๐™ฏ๐™ค
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.

#06773705 15

Matangazo yanayofanana Ubungo, Dar Es Salaam

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam

Sh. 250,000/month

  • Maji

  • Parking Space

  • Luku Inajitegemea

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Makoka, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

  • Parking Space

  • Paving Blocks

  • Uzio

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo Makoka, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

  • Parking Space

  • Paving Blocks

  • Uzio