Kiwanja kinauzwa Goba Center, Dar Es Salaam sqm 400

Goba, Dar Es Salaam
1 day ago
Sh. 18,000,000
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
1.5km
Huduma na Sifa
Site Visit Bure
Service Charge50000
Maelezo
Kiwanja kzr sanaa bei kitonga wai bila kuchelewa
Kiwanja kinauzwa bei milioni 18
Kiwanja kipo goba center km 1.5 usafiri boda 1000 toka kituoni goba center
Kiwanja kizuri kinafaa kujenga apartments za biashara au makazi binafsi
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
Kiwanja kina square mita 400
Service charge 50000 kwenda Kuona site za kununua















