Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Fancity, Dar Es Salaam (450 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
450 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI FANICITY 🔥🏡
✨ NYUMBA YA KISASA KWENYE HATUA ZA MWISHO ZA UMALIZIAJI!
Fursa nzuri ya kumiliki nyumba katika eneo zuri la Kigamboni – Fanicity, eneo tulivu na linalofaa kwa makazi.
🏠 SIFA ZA NYUMBA:
✅ Vyumba 4, vyote Master
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Jiko
🏗️ Ipo katika hatua za umaliziaji
📐 Ukubwa wa Kiwanja: SQM 450
📄 Nyaraka: Hati ya Serikali ya Mtaa
✨ Nyumba ya kisasa kabisa
📍 UMBALI:
🚗 Kilomita 1 kutoka Barabara ya Lami
⛴️ Kilomita 12 kutoka Ferry
🌉 Kilomita 11 kutoka Daraja la Nyerere, Kigamboni
💰 BEI: TZS MILIONI 75
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.
🔥 Usikose fursa hii! Nyumba nzuri, eneo zuri na nafasi ya kuimalizia kwa style yako mwenyewe.
📞 Wasiliana nasi:
📍Service Charge 30,000















