Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam (500 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
500 SQM
Barabara ya Karibu
600m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 PAGALA LA KISASA LINAUZWA – KIGAMBONI DARAJANI
Unatafuta nyumba ya bei nafuu yenye mazingira mazuri na utulivu? Hii hapa fursa yako!
✨ Sifa za Nyumba:
• Vyumba 3 (Vyumba 2 Master)
• Sebule kubwa na ya kisasa
• Jiko la kisasa
• Eneo la ukubwa: SQM 500
• Umbali: Mita 600 kutoka barabara kuu ya lami
📄 Umiliki:
• Hati ya Serikali ya Mtaa
💰 Bei:
• Milioni 50 (Mazungumzo yapo)
📍 Ipo Kigamboni Darajani – eneo zuri kwa makazi ya familia au uwekezaji.
📞0769-554-221
#trendingvideos #tanzania🇹🇿 #istagram #realestateforsale #trendingaudio















