Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Gezaulole, Dar Es Salaam (700 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
700 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🏠 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI GEZAULOLE
Unatafuta nyumba nzuri ya kuishi au uwekezaji? Hii hapa fursa yako!
🔹 Maelezo ya Nyumba:
• Vyumba 3 (2 Master)
• Sebule kubwa na ya kisasa
• Jiko la kisasa
• Eneo: SQM 700
• Hati ya Wizara
💰 Bei: Milioni 280 (Mazungumzo yapo)
📍 Ipo Kigamboni Gezaulole – eneo tulivu na linaendelea kukua kwa kasi
📞0769-554-221
#trendingvideos #tanzania🇹🇿 #istagram #realestateforsale #trendingsongs















