Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Dar Es Salaam (480 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 62,000,000

Maelezo

Nyumba inauzwa kati ya Kivule na msongola wilaya ya ilala Dar
Vyumba v3 viwili masta
👉BEI MILION 62 inapungua (usiogope)
Tailiz jipsam maji umeme
Jiko, bafu na choo
Ipo karib sana na stend (unatembea tu)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Eneo sqm 480 (makadilio)
Gari moja had mjini

Matangazo yanayofanana Kivule, Dar Es Salaam