Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Kwa-Msuguri, Dar Es Salaam (500 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA MPYA, VYUMBA 3,TZS.135 MILIONI,
MBEZI KWA-MSUGURI.
Unaweza kingilia MALAMBAMAWILI PIA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni nyumba ya kisasa.
Vyumba vya kulala 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule,Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Parking yakutosha yenye Paving,
Na pia jna Tanks za Maji ya akiba.
WAHI.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548.
_________________alMx















