Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Mshikamano, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Barabara ya Karibu
2.5km
Maelezo
NYUMBA YA KISASA, BEI RAFIKI, MBEZI-MSHIKAMANO.
Hapa ni nyuma ya Kituo cha Magufuli.
Umbali ni wastanivwa kilomita 2.5 kutoka Lami.
Vyumba 3 vya kulala (Masta 1) Sebule,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Pia ina Apartment-2 za Masta kilamoja.
Finishing nzuri naMtaa tulivu.
Ishi na Familia yako kubwa au Pangisha ukamue Kodi,
-Ndio ujanja huo.
Uwekezaji unaohitajika sasa!
Eti, TZS. 82 MILIONI TU,
We umesikia wapi?
Wahi Usiage hata mtu mmoja, utazunguukwa.l
Njoo uokote Dodo chini ya Mnazi.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________alMx















