Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
5km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment MPYA inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk5 kutoka main road
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule
Jiko ( Open kitchen)
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full a/c
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci
Kodi 450,000/= Kwa mwezi, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :-
dalali osama contact
0674198120....0757908120















