Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar es Salaam (400 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 25,000 per sqm

Aina

Kiwanja

Ukubwa

400 SQM

Barabara ya Karibu

2.5km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maji
Karibu na Shule
Karibu na Barabara
Vituo Vya Afya

Maelezo

KIGAMBONI MWASONGA(GOLDEN TOUCH PROJECT)

๐Ÿ”‘ Sifa za Mradi
๐Ÿ‘‰25km kutoka ferry kivukoni
๐Ÿ”นUmbali wa 2.5km tu kutoka barabara kuu mpaka site.
๐Ÿ”นBarabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
๐Ÿ”นEneo lenye makazi ya watu tayari.
๐Ÿ”นMji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kila siku.
โœ… Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu:
โ€ข ๐Ÿซ Shule
โ€ข ๐Ÿฅ Vituo vya afya
โ€ข ๐Ÿ”Œ Umeme
โ€ข ๐ŸŒŠ Maji safi
โ€ข ๐Ÿฉบ Chuo cha Afya kipo jirani na site

๐Ÿ’ฐ Bei

๐Ÿ”น Malipo ya CASH
โ€ข Bei: 25,000/= kwa sqm
โ€ข Kiwanja cha sqm 400
400 x 25,000 =10,000,000
โ€ข Unaweza kulipa kwa mkupuo au kwa miezi 3:
โžก๏ธ 3,333,333 kila mwezi

๐Ÿ”น Malipo ya INSTALLMENT
โ€ข Bei: 30,000/= kwa sqm
โ€ข Kiwanja cha sqm 400
400 x 30000=12,000,000
โ€ข Unaanza na 10% ya awali (1,200,000)
โ€ข inayobaki unalipa kwa miezi 12:
โžก๏ธ 900,000 kila mwezi