Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 25,000 per sqm

Aina

Kiwanja

Ukubwa

400 SQM

Barabara ya Karibu

2km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Ardhi Iliyopimwa
Umeme
Maji

Maelezo

🔥 MRADI MPYA – KIGAMBONI MWASONGA 🔥

Fursa nzuri kwa yeyote anayetamani kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi na lenye makazi tayari.

📍 Mradi upo KM 23 kutoka Ferry
📍 Ni KM 2 tu kutoka barabara kuu
🏘 Eneo tayari limeendelea na majirani wapo wanaishi sio pori.

📐 Ukubwa wa viwanja kuanzia SQM 400 na kuendelea, hivyo unaweza kuchagua ukubwa unaokufaa kwa makazi au uwekezaji.

💰 Bei:
• Tsh 25,000 kwa SQM – Cash
• Tsh 30,000 kwa SQM – Installments

📝 Malipo ni rahisi:
Unaanza na 10% tu, kisha inayobaki unalipa ndani ya miezi 12 Tu.

📍Dar Office Zetu Zinapatikana Makumbusho, Mwanga Tower 12th Floor.
📍Dodoma Nyerere Square (Imarika Floor No 2)

Call/Whatsapp
☎️0747519264