Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 25,000 per sqm

Aina

Kiwanja

Barabara ya Karibu

1km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Karibu na Shule
Karibu na Hospitali
Karibu na Barabara

Maelezo

KIGAMBONI MWASONGA(GOLDEN TOUCH PROJECT)

Sifa za Mradi
*km 22 kutoka ferry*
🔹Umbali wa 1KM tu kutoka barabara kuu mpaka site.
🔹Barabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
🔹Eneo lenye makazi ya watu tayari.
🔹Mji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kila siku.
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu:
• 🏫 Shule
• 🏥 Vituo vya afya
• 🔌 Umeme
• 🌊 Maji safi
• 🩺 Chuo cha Afya kipo jirani na site
💰 Bei
Sqm 1 cash 25,000
Sqm 1 mkopo 30,000
☎️0743930000