Tafuta

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 25,000/sqm

Maelezo

KIGAMBONI MWASONGA(GOLDEN TOUCH PROJECT)

Sifa za Mradi
*km 22 kutoka ferry*
🔹Umbali wa 1KM tu kutoka barabara kuu mpaka site.
🔹Barabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
🔹Eneo lenye makazi ya watu tayari.
🔹Mji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kila siku.
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu:
• 🏫 Shule
• 🏥 Vituo vya afya
• 🔌 Umeme
• 🌊 Maji safi
• 🩺 Chuo cha Afya kipo jirani na site
💰 Bei
Sqm 1 cash 25,000
Sqm 1 mkopo 30,000
☎️0743930000

Matangazo yanayofanana Mwasonga, Dar es Salaam

Kiwanja kinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam (771 sqm)

Sh. 20,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 25,000/sqm

  • Karibu na Barabara

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Umeme