Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Kimara Korogwe Kilungule, Dar Es Salaam (1300 sqm)

Kilungule, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 120,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Eneo kubwa sanaa nzr limeshika barabara ya mtaa inayotegemea kupita lami unaweza jenga fremu mbele nyumba APARTMENT UPIGE HELA
Eneo lina square mita 1300
Eneo lina documents safi za mauziano kutoka serikali za mtaa
Eneo linafaa kujenga apartments za biashara fremu au makazi binafsi
Bei milioni 120 maongezi yapo fika saity kwanza ukague biashara maelewano
Eneo lipo kimara korogwe kilungule usafiri bajaji za kumwaga panafikika vzr wakati wote
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347





