Tafuta

Viwanja (Residential/Commercial) vinauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 37,000,000

Maelezo

Viwanja vizuri sanaa vikubwa mkeka kabisa akuna kuchimba hapo bei milioni 37 maongezi kwa milioni 35 maongezi mbio zako tu ndugu mteja

Viwanja vinaukubwa wa square 564 kwa 466 kwa 575 kwa 518 kwa 467 kwa 533

Viwanja vinafaa kujenga apartments za biashara au makazi binafsi or kanisa shule logg nk:

Viwanja vipo mbezi mwisho karbu na stend ya mkoa makufuly km 1.boda 1000

Viwanja vimepiwa vinadocomert za mauziano kutoka widhara ya aridhi na serikali za mtaa

Wai ndugu mteja viwanja vya karbu na mjini avikai

SIMU

+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49

MSHATI

Matangazo yanayofanana Mbezi, Dar Es Salaam