Frame ya Biashara inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam






Tabata, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 500,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Hapa kuna fremu za bei tofauti tofauti bei ya sh 500k, 600k, 800k, 2 milion, kodi kuanzia miezi 12 yani mwaka mmoja hivi, hizi fremu zipo maeneo ya tabata kimyerezi dar es salaam
Sifa ya hizi fremu za kibiashara kila fremu ina choo chake
Sifa nyingine ya hizi fremu ni kubwa sana na zipo sehemu nzuri sana kuna mzunguko wa kibiashara
Calls or whatsapp 0653233641 & 0768682919
Service charge tsh 30000
Au malipo ya dalali















