1 Bedrooms House for sale at Msongola, Dar Es Salaam


NANI KASEMA MILIONI 5 HUPATI NYUMBA DAR?
UONGO TU.
WAHI NJOO MSONGOLA/KIVULE.
Tunakupatia nyumba ndogo inayojitegemea.
Yenye Chumba kimoja (1) tu cha kulala,
Sebule,Choo na Jiko.
KIWANJA KIMEISHA.
Huduma ua Umeme, tayari upo ndani.
Yaani ukiweza kama unaweza,
Beba Milioni 5 yako,
Ongeza na LAKITANO YA DALALI (500,000),
Kisha chukua KIRIKIU BEBA VYOMBO VYAKO UHAMIE KWAKO MOJAKWAMOJA.
Sasa wewe jiulizeee ,
Piga Ramli zako weee.
Ukijakuzinduka wajanja wameichukua.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mskv