2 Bedrooms House for Rent at Kibaha, Pwani







NYUMBA MPYAAA INAPANGISHWA KIBAHA KWA MFIPA MITA 600 TU KUTOKA STAND KODI 150K
==========
〽️ INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
🔶🔷VYUMBA VYOTE VIWILI NI MASTER
〽️ JIKO ZURI LENYE MAKABATI
〽️ SEBULE
==========
🔶 IPO MITA 600 TU KUTOKA MOROGORO ROAD UNATEMBEA TU KUTOKA STAND.
🔷 IPO NDANI YA FENCE PARKING YA KUTOSHA
🔶 MAJI NA UMEME UNAJITEGEMEA
🔷 NYUMBA NI MPYA KABISA
==========
💰 KODI INATAKA TSH 150K x6
==========
✍️ UKILIPIA NYUMBA DALALI ANALIPWA PESA YA MWEZI MMOJA (LAKI MOJA NA NUSU)
✍️ SERVICE CHARGE TSH 10K TU
==========
CALL/WHATSAPP:
-------------------------
0659244543