2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYAA ZINA PANGISHWA
KODI 400,000X6
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 10 KWA MGUU
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE
JIKO LINA FUNGWA KABATI
PUBLIC TOILET
FULL AC
HEATER YA MAJI MOTO
MAFENI KILA CHUMBA
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PAVING ZINAWEKWA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
Cont
0683234124
0718367179



















