2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 4
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
MAJI YANAFLOO NDANI
#PARKING
BEI NI 200,000/= X 4
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA SUKA
..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM 1ย ..USAFIRI BODABODA 1,000 MPKA GETINI
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710