3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani


TSHS MIL 15 TOOP! 😳 NYUMBA INAUZWA
IKO-PWANI Tz
MAHALI-KIBAHA VISIGA
UMBALI MITA 240 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
NYARAKA ZA UMILIKI INA MKATABA WA MAUZIANO
NYUMBA KUBWA YA KISASA
YA FAMILIA YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni Master, Dinning, Sebule, Jiko & Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Parking ipo ya gari 1
Fencedhouse
PIA INA MABANDA UWANI KWA NYUMA
BEI INAUZWA TSHS MIL 15 TOOP! 😳
HAINA MAONGEZI ❌
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
Angalizo staki madalali wala washauri nasaha nahitaji mteja serious tuu anayejua thamani ya hili dodo 🥭chini ya mnazi 🌴asanteni 🤨🤔