4 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani







NYUMBA INAUZWA
EBWANA HII NYUMBA NI KUBWA ALAFU NI NZURI SANA WATEJA WANGU#2025
NYUMBA IPO KIBAHA MSUFINI
UMBALI WA KM2 TU KUTOKA MOROGORO ROAD
UKUBWA WA ENEO NI HEKA MOJA YAANI SQM 4900(70X70)
NYUMBA INA ENEO KUBWA SANA
KUNA MABANDA YA KUKU, YA NG'OMBE, NA KUNA KISIMA CHA MAJI KIPO
#SIFA_ZA_NYUMBA
MASTER BEDROOM NNE YAANI KWA LUGHA RAHIS INA VYUMBA VINNE NA VYOTE VINA CHOO NDAN
SEBULE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET
STORE
ENEO LOTE LA NYUMBA LIMEZUNGUSHIWA FENS YA WIRE
BEI MILLION 75/= TU
☎️ #0757208653
SITE VISIT 20000