House for sale at Kibaha, Pwani


NYUMBA YENYE VYUMBA 12, MADUKA-6, TSHS.70 MILIONI,KIBAHA KWA-MATHIAS.
Hii ni nyumba ya Biashara na Makazi.
Vyumba 12 kila (Kila kimoja na Choo chake ndani)
Na Maduka yapo 6.
KOTE KUNA WAPANGAJI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mpg