House for sale at Kibaha, Pwani


MKOA WA PWANI KIBAHA KWA MATHIASI MSANGANI MADINA 
NYUMBA INAUZWA NYUMBA NI YA VYUMBA 
V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER 
ENEO SQM 500
BEI MIL 22
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA 
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 6
MAJI UMEME VIPO HAPO 
BARABARA INAYOPITIKA KIPINDI CHOTE 
BODA ELFU 2000
BAJAJ 1000
KARIBUNI SANA WATEJA




















