House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


MPYAA MPYAA๐ฅ MPYA MPYAA APARTMENT FOR RENT ๐ฅ BEI NI 170,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# JIKO FULL MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#KILA APARTMENT LINA DISHI LAKE DSTV
#GARDEN
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 170,000/= X 6 ZIMEBAKIA 1 TUU NINZULI SANA
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 TUU..USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI
PIGA SIMU
0719969102